shuku image TIA MBEYA

Thursday, May 16, 2013

NIGERIAN PROSTITUTES In ITALY

Life Of NIGERIAN PROSTITUTES In ITALY (PHOTOS) What a Shame!!! Why can’t they go back HOME??

WHERE THEY LIVE...

The phenomenon of foreign women, who line the roadsides of Italy, has become a notorious fact of Italian life. These women work in sub-human conditions; they are sent out without any hope of regularizing their legal status and can be easily transferred into criminal networks.
Prostitute waiting for a customer inbraod daylight
 
Many are Africans working as prostitutes to send money home to their families. For nearly twenty years the women of Benin City, a town in the state of Edo in the south-central part of Nigeria, have been going to Italy to work in the sex trade and every year successful ones have been recruiting younger girls to follow them.

Another prostitute chilling at her ''home''
 The Nigerian trafficking industry is fueled by the combination of widespread emigration aspirations and severely limited possibilities for migrating to Europe.The term Trafficking of persons is restricted to instances where people are deceived, threatened, or coerced into situations of exploitation, including prostitution. This contrasts with Human smuggling, in which a migrant purchases services to circumvent immigration restrictions, but it is not a victim of deception or exploitation. More pictures after the cut......
This is where they sleep since they dont have any real home in Italy

 

Most migrant women, including those who end up in the sex industry, have made a clear decision to leave home and take their chances overseas. They are headstrong and ambitious women who migrate in order to escape conflict, persecution, environmental degradation, natural disasters and other situations that affect their habitat and livelihood.


THIS IS WHERE THEY DUMP THEIR CONDOMS AFTER SERVICING THIER CUSTOMERSEnsuring a better future for one’s family in Nigeria is a principal motivation for emigration within and outside the trafficking networks. Working abroad is therefore often seen as the best strategy for escaping poverty. The success of many Italos, as these women are called, is evident in Edo. For many girls prostitution in Italy has become an entirely acceptable trade and the legend of their success makes the fight against sex traffickers all the more difficult.
One concern is that the anti-trafficking crusade is causing effects opposite to its objectives. What presents itself as a campaign to protect migrants from harm is actually making their efforts to flee home, to find work, to make the most of their lives in often difficult and unforgiving circumstances, much harder.

Wednesday, May 8, 2013

NECTA WAGOMA KUFUTA MATOKEO YA IV, WATISHIA KUJIZURU

NECTA WAGOMA KUFUTA MATOKEO YA IV, WATISHIA KUJIZURU

Prof. Rwekaza Mukandala
WAKATI Serikali ikitangaza kufuta matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne.

Chanzo cha karibu cha Prof.Mukandala kinadai kuwa mara baada ya kutolewa taarifa ya Serikali inayotaka 'kuboreshwa' kwa matokeo hayo,Prof.Mukandala ameonesha kukataa amri hiyo hadi sasa. 'Sisi tulipitisha matokeo hayo mbele yao na kwa idhini yao.Iweje leo Baraza libadili matokeo?.Tunafanya hivi kwa faida ya nani na kwa ustawi wa elimu ya wapi?' alinukuliwa akihoji Prof.Mukandala.

Habari za kuaminika zinadai kuwa Prof.Mukandala pamoja na Katibu Mtendaji Dr.Joyce Ndalichako wanajiandaa kuachia ngazi kama Serikali itasimamia uamuzi wake huo.

Naye Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Philipo Mulugo alipotafutwa kwenye simu yake ya mkononi kuzungumzia suala hilo iliita bila ya kupokelewa na baadaye akatuma ujumbe mfupi akisema, "Sorry I'm busy call back later", alisema Mulugo kupitia simu yake ya mkononi.

ALCHOKISEMA KARDINAL PENGO KUHUSU BOMU LILILOPIGWA KANISAN ARUSHA ASEMA AMEPATA TAARIFA KUTOKA KWA WATU AMABO HANA SHAKA NAO.

ALCHOKISEMA KARDINAL PENGO KUHUSU BOMU LILILOPIGWA KANISAN ARUSHA ASEMA AMEPATA TAARIFA KUTOKA KWA WATU AMABO HANA SHAKA NAO.


Kadinali Pengo

Dar es Salaam/Arusha. Kadinali Pengo alisema amepata taarifa kutoka kwa watu ambao hana na shaka nao.


“Jana (juzi), niliongelea kwamba suala zima la tukio la Arusha halihusiani na imani yoyote ya kidini. Tamko hilo nilitamka kutokana na taarifa nilizofikishiwa na watu ambao sikuweza kuwa na shaka kwamba wanaoniambia ni kweli na sidhani kama ningekuwa na sababu ya kusema wamefika kwa kunidanganya kwa hiyo tamko litakuwa limesimama juu ya msimamo huo,” alisema Kadinali Pengo na kuongeza:


“Lengo la msingi kabisa, langu na la kanisa ni kwamba tukio lolote lile liwe kwa nia mbaya au nzuri kwa upande wetu isiwe ni sababu ya kuanza mapambano na kuwa chimbuko la ukosefu wa amani katika nchi yetu,” alisema Pengo.


Alisema kuwa kila anayehusika ajue amani ya kweli ya taifa lolote haiwezi ikapatikana isipokuwa ikijengwa juu ya ukweli na ukweli kabisa bila kufuta au kujaribu kupotosha ukweli kwa namna yoyote ile.


“Tusipojua kusema ukweli ulivyo hatuwezi kufaulu kuleta amani katika taifa letu. Kwa hiyo pamoja na kuendelea kuwaomba waumini wa Katoliki pamoja na watu wenye mapenzi mema kuendelea kumwomba Mwenyezi Mungu arehemu taifa letu na mapambano ya aina yoyote ile. Tuendeleze nia yetu njema ya kusema ukweli, haidhuru ukweli huu unamgusa nani,” alisema Pengo.Alisema kujaribu kuficha ukweli na kupotosha ni njia sahihi kwa ibilisi kuleta vurugu katika jumuiya ya watu na ieleweke hivyo.


“Naomba kila mtu akubaliane na tamko langu haidhuru pana kosa, amani ya taifa letu ni jambo la msingi na amani itajengwa tu iwapo kila mtu anayehusika atakuwa tayari kusema ukweli kama ulivyo,” alisema.


Mwingine afariki, 20 wakutwa na vipande vya chuma miilini


Katika hatua nyingine, majeruhi mmoja katika shambulio hilo lililotokea Jumapili iliyopita, amefariki dunia juzi jioni na kufikisha idadi ya waliopoteza maisha kufikia watatu.


Aliyefariki ni mtoto wa miaka tisa, Patricia Joachim ambaye alikuwa amehamishiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi. Wengine waliofariki katika tukio hilo ni Regina Losyoki (45) na James
Gabriel (16).


Mazishi ya watu hao watatu yamepangwa kufanyika katika eneo la kanisa hilo Ijumaa.


Katika hatua nyingine, majeruhi 20 wamebainika kuwa na chembechembe za vyuma walivyopata katika shambulio hilo. Hao ni miongoni mwa majeruhi 42 waliolazwa hadi sasa kwenye hospitali mbalimbali za Arusha.


Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mount Meru, Dk Thomas Kway alisema majeruhi hao 20 wamedhuriwa na chembechembe za vyuma vya mabomu na baada ya miili yao kubainika kuwa na vyuma vyenye urefu hadi wa sentimita tisa.


Dk Kway alisema hayo wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofika katika hospitali hiyo kuwafariji majeruhi hao.


Kutokana na hali hiyo, Pinda aliwataka madaktari waliowafanyia upasuaji majeruhi waliolipuliwa na bomu kuhifadhi vipande hivyo ili vitumike katika uchunguzi.


Aliwaambia wabunge kuwa vyuma hivyo vitasaidia upelelezi ili kufahamu aina ya bomu lililotumika.


“Tumeamua kuwa vipande vya vyuma vinavyotolewa baada ya upasuaji visitupwe, vitumike kwa uchunguzi,” alisema Pinda na kuongeza kuwa baadhi ya majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.


Waliokamatwa


Akitoa taarifa kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye alifika Arusha jana, Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo alisema watu tisa wamekamatwa hadi sasa.


Aliwataja baadhi yao kuwa ni Victor Ambrose na wengine aliowataja kwa jina mojamoja ni Joseph na David.


Alisema wengine ni raia watatu wa Saudi Arabia, ambao walikuwa na wenyeji wao wawili na Watanzania wengine watatu.


Kauli ya Kikwete


Akizungumza Arusha jana, Rais Kikwete amewataka waumini wa dini zote waendelee kusali akiahidi kwamba Serikali itaimarisha ulinzi. Alisema amekerwa na kukasirishwa na tukio hilo
.
Rais Kikwete alitanguliwa kufika Arusha na Makamu Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd ambao pia walitembelea Kanisa lililolipuliwa na baadaye kwenda kuwatembelea wafiwa na kuwafariji majeruhi hospitali.


Viongozi wote hao walitoa wito kwa Watanzania kulinda amani iliyopo na kuacha malumbano ambayo hayana tija kwa maslahi ya taifa.

Tuesday, April 23, 2013

TUJIAJIRI WENYEWE

Universal HP Compatible Rifill Ink 100ml Tri-Color & Black

This Product comes in a choice of colours (Black, Cyan, Magenta, and Yellow)
• 100ml Ink
• Suitable for refilling HP cartridges
• DYE Based Ink
• Save up to 95% with refilling

One Bottle: Refilling up to x 20 times
chupa moja unaweza kurefill mara ishirini(20)
Free refill Introduction CD
unapewa cd bure ya maelekezo namna ya kujaza wino

Price:
Each Bottle - TSH 8000/=

FAIDIKA NA BIASHARA YA KURIFILI( KUJAZA WINO TENA KWENYE KATRIJI YA PRINTA)

Katika kizazi hiki kipya, cha sayansi na tekinolojia, hauna haja ya kupoteza pesa na kuumiza kichwa kwa ajili, ya biashara yako ya steshenari, au kutokua na printa yako mwenyewe, eti kisa , wino ni bei ghali, discountkubwa.com ; kama kawaida wanataka unufaike na kufaidika na biashara pamoja na kuandika na kuprinti kazi zako, kwa kutumia njia rahisi na ya bei nafuu, ya kujaza tena wino kwenye katriji zako.

*discountkubwa.com wamekuletea wino wa kujaza, sawia kwa HP printa zote;
*Chupa zenye ujazo wa ml 100 rangi zote tatu na zenye rangi nyeusi.
*Bidhaa hii imekuja katika rangi za aina mbali mbali; Nyeusi(Black), zambarau(Cyan),
damu ya mzee (magenta), na njano(Yellow).
*Ni mahsusi kwa kwa printa za aina ya HP
*Okoa gharama kwa kiwango kikubwa 95%
*Chupa lenye ujazo wa ml 100 litakuhudumia kurifili mara zisizopungua ishirini(20).

Hata kama hujawahi, kufanya shughuri ya kurifili usijali ni rahisi, discountkubwa.com , tumelizingatia hilo. Ununuapo wino (chupa –TSH 8000) utapewa papo hapo DVD yenye picha kamili inayokuelekeza jinsi ya kujaza wino kwenye katriji ya printa , Picha hiyo imetafasiliwa kwa lugha Kiswahili.

Ikiwa wewe ni mjanja , changamkia fursa hii , ufanye ujasiliamali kwa kuanzisha mwenyewe, biashara ya kurifili kwa kutumia wino kutoka Discountkubwa.com.
Tumekupeni dili, sasa changamkaaa!!!.
Contact:
Dar es Salaam;voda 0753686848
Website: wwwmwakisuebusiness.com
Universal HP Compatible Rifill Ink 100ml Tri-Color & Black

This Product comes in a choice of colours (Black, Cyan, Magenta, and Yellow)
• 100ml Ink
• Suitable for refilling HP cartridges 
• DYE Based Ink
• Save up to 95% with refilling

One Bottle: Refilling up to x 20 times
chupa moja unaweza kurefill mara ishirini(20)
Free refill Introduction CD
unapewa cd bure ya maelekezo namna ya kujaza wino

Price:
Each Bottle - TSH 8000/=

FAIDIKA NA BIASHARA YA KURIFILI( KUJAZA WINO TENA KWENYE KATRIJI YA PRINTA)

Katika kizazi hiki kipya, cha sayansi na tekinolojia, hauna haja ya kupoteza pesa na kuumiza kichwa kwa ajili, ya biashara yako ya steshenari, au kutokua na printa yako mwenyewe, eti kisa , wino ni bei ghali, discountkubwa.com ; kama kawaida wanataka unufaike na kufaidika na biashara pamoja na kuandika na kuprinti kazi zako, kwa kutumia njia rahisi na ya bei nafuu, ya kujaza tena wino kwenye katriji zako. 

*discountkubwa.com wamekuletea wino wa kujaza, sawia kwa HP printa zote;
*Chupa zenye ujazo wa ml 100 rangi zote tatu na zenye rangi nyeusi.
*Bidhaa hii imekuja katika rangi za aina mbali mbali; Nyeusi(Black), zambarau(Cyan),
  damu ya mzee (magenta), na njano(Yellow).
*Ni mahsusi kwa kwa printa za aina ya HP
*Okoa gharama kwa kiwango kikubwa 95%
*Chupa lenye ujazo wa ml 100 litakuhudumia kurifili mara zisizopungua ishirini(20). 

Hata kama hujawahi, kufanya shughuri ya kurifili usijali ni rahisi, discountkubwa.com , tumelizingatia hilo. Ununuapo wino (chupa –TSH 8000) utapewa papo hapo DVD yenye picha kamili inayokuelekeza jinsi ya kujaza wino kwenye katriji ya printa , Picha hiyo imetafasiliwa kwa lugha Kiswahili. 

Ikiwa wewe ni mjanja , changamkia fursa hii , ufanye ujasiliamali kwa kuanzisha mwenyewe, biashara ya kurifili kwa kutumia wino kutoka Discountkubwa.com. 
Tumekupeni dili, sasa changamkaaa!!!.
Contact:
Dar es Salaam; Zantel: 0772 49 66 79, Tigo: 0717 59 66 79
Website: www.discountkubwa.com
Like · ·

Monday, April 22, 2013

Kwa Wanaume tu... Je Wanawake Bado Wanakusumbua?

Kwa Wanaume tu...

Je Wanawake Bado Wanakusumbua?

"Kwa Mara ya Kwanza Nchini Tanzania .... Jifunze Sound na Swaga za Kijanja za Kula Mzigo Fasta, Bila Kupoteza Muda au Pesa Nyingi!"
   Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kula mzigo. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
   Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.
Sio Kweli !!! 
   Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na akala mzigo leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka kula mzigo. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!

 Je Unajua Njia S
ahihi za Ku-handle Vikwazo vya Wanawake?
  Wanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio mzee?
  Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
 • Niko kwenye period
 • Nina boyfriend / mume / mchumba
 • Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
 • Mama yangu mgonjwa
 • Niko bize na kazi
 • Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
 • Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
 • Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
 • Mi bado mdogo
 • Sitaki!!
 • Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
 • Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
 • Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
 • Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
 • na kadhalika
  Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
  Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
  Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.

Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
  Tuna wataalam wa kutongoza. Hao jamaa ni noma, we mwenyewe ukiwasikia sound zao, na ukiona swaga zao utawakubali.
  Na uzuri zaidi sio sound na swaga tu, bali wanakula kweli mizigo fasta tena bure bure. Sio watu wa maneno miiiingi na resi kibao halafu mwisho wa siku wakaishia kunawa. La hasha, wanasoundisha na wanakula mzigo.
  Kila wiki tunarekodi na kurusha kupitia email (au CD) "episode" kadhaa ambapo wataalam wanatokea mademu kwenye mazingira mbali mbali. Njiani, barabarani, vyuoni, kazini, stendi za daladala, kwenye daladala, club, beach, n.k.
  Ukisikiliza hizi "episode" utapata darasa kamili la ujanja wa kumtongoza mwanamke yoyote yule, mahali popote.
  Si rahisi kukupa picha kamili kwa maneno tu, inabidi ujiunge nasi uanze darasa ndipo utajionea mwenyewe.
  Kwenye "episode" zetu utasikia staili mbali mbali za kutongoza, kama vile:
 • Tongoza ya kistaarabu (kiupole)
 • Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)
 • Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)
 • Tongoza ya kizungu
 • Tongoza ya kihindi
 • Tongoza ya kiarabu
 • Tongoza ya kimya kimya
 • Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu
  Kila tongoza ina mahali pake, utasikia na maelekezo ya ziada kuwa tongoza ipi itumike wapi ... ukichanganya umeharibu!
Na Si Hayo Tu...
  Kwenye "episode" za kila wiki utapata sio tu kusikiliza laivu wanawake mbali mbali wanavyotongozwa mpaka kitandani, bali utapata na "track" za ziada ambapo mtaalam husika anaelezea na kufafanua kile alichokuwa anafanya na mahesabu aliyokuwa anapiga kichwani mwake wakati anamtongoza huyo mwanamke.
  Kutongoza kunahitaji maandalizi makubwa nyuma ya pazia ... maandalizi ya kiakili, kimuonekano, kusoma mazingira, na kumsoma mwanamke.
  Kwa hiyo utapata na maelezo ya ziada kwa nini mwanamke fulani katongozwa kwa staili fulani badala ya staili fulani. Hii itakusaidia kukujenga ndani na nje ili uwe "striker" hatari kuliko Emmanuel Okwi.
Tusiandikie Mate...
  Kukupa mfano wa "episode" zetu sikiliza hii ya Hidaya. Hidaya tulikutana naye mitaa ya Kinondoni mida ya jioni jioni akiwa na haraka anakwenda Ilala.
  Mtaalam mmoja akamtokea, sikiliza mwanzoni alivyokuwa anajifanya yeye mgumu ... halafu mwishoni mwenyewe akalainika na kukubali kwenda na "Mtaalam"
  Hidaya aligongwa usiku huo huo kwenye getto la Mtaalam, halafu akasindikizwa tu kituoni aendelee na safari yake. Hakupewa hata shilingi ... bali maneno matamu matamu tu.
  Msikilize Hidaya. Jaza jina, email na simu yako ya mkononi kwenye kaform haka utatumiwa Episode ya Hidaya BURE, ndaki ya dakika tano tu.


Jina:

Email:

Simu ya Mkononi:

  Hatubahatishi!! Tunakupa na Garantii...
Ahadi yetu kwako ni kwamba ukisikiliza "episode" zetu kila wiki kwa muda wa mwaka mmoja hivi utaongeza ujanja.
Kama sasa hivi ni domo zege na muoga kabisa hujuagi cha kusema mbele ya mwanamke, basi utaweza kutiririka mpaka demu mwenyewe analainika.
Na kama ni mjanja kiasi fulani basi utakuwa mjanja zaidi. Hakuna demu atakayekusumbua tena.

HIYO NI GUARANTEED!! YAANI ISIPOKUWA HIVYO TUTAKURUDISHIA CHENJI. WE TUSHTUE KUWA EPISODE ZENU HAZIJANISAIDIA ... TUTAKURUDISHIA CHENJI !!
Ila Na Wewe Tunaomba Utusaidie Kitu Kimoja...
   Ili elimu hii ya mbinu za kijanja za kutongoza iwe na maana haitakiwi kabisa wanawake waijue.
   Wanawake wakishajua mbinu hizi za kijanja zitakuwa hazina nguvu tena.
   Hivyo basi kila "episode" utakayotumiwa ilinde kama mboni ya macho yako. Ukiwapa tu wanawake basi ujue utakuwa umetuharibia wanaume wenzako kibao, na wewe mwenyewe utakuwa umejiharibia pia.
   Halafu kingine ni usimpe mtu mwingine yoyote "episode". Wewe si umezilipia bwana, sasa ukimpa mtu bure hatazithamini kama unavyozithamini wewe.
   Watu wanaotaka bure ndio wanaishia kuwapa hadi wanawake kwa kuwa hawazithamini kivile.
   Na mwisho kabisa uchoyo ni mzuri katika hili, kwa kuwa wanaume wengi wakizijua hizi mbinu wataongeza ushindani. Kwa hiyo mkuu "episode" zibanie ... jifunze mwenyewe utakuwa unakula kiulaini tu. Jamaa wengine wataishia kuongea tu na kukupa respect kuwa, "Duh! Mshkaji anavyowalamba utadhani ana kizizi vile!"
Sasa Sikiliza kwa Makini Ada na Utaratibu wa Malipo Uko Kama Ifuatavyo...
   Tuna "episode" za aina mbili. Episode za sauti tupu kama hiyo ya Hidaya uliyoisikiliza hapo juu. Kama hujaisikiliza basi rudi juu kidogo uisikilize vizuri.
   Na tuna "episode" za video. Kwenye "episode" za video unasikia sauti na kuona picha ya kinachoendelea. Utaona jinsi mwanamke anavyolainika, na utundu wa kumlainisha zaidi kwa vitendo - kama kumkumbatia, kumpapasa na kumbusu.
  Ukitaka Episode za Sauti Tupu unalipa Tshs. 10,000/- (elfu kumi) tu kujiunga, na Tshs. 5,000/- (elfu tano) tu kila mwezi ambapo utapokea "episode" mpya mara moja kwa wiki.
  Na ukitaka Episode za Video unalipa Tshs. 10,000/- (elfu kumi) tu kujiunga, na Tshs. 10,000/- (elfu kumi) tu kila mwezi ambapo utapokea "episode" mpya mara moja kwa wiki. Episode za video maana yake zinajumuisha na sauti pia, kwa hiyo unasikia na kuona.
   Kwa hiyo mfano umechagua "episode" za sauti tupu, leo utalipa Tshs. 15,000/- (ambapo 10,000/- ni ya kujiunga na 5,000/- ni ada ya mwezi wa kwanza). Kisha mwezi wa pili na kuendelea utakuwa unalipa elfu tano tano tu.
   Vile vile unaweza kulipa kwa miezi mingi mbele ... mfano ukatoa 30,000/- kama ada ya miezi sita, au 60,000/- kama ada ya mwaka mzima badala ya kutuma 5,000/- kila mwezi.
   Na kwa mfano umechagua "episode" za video, leo utalipa Tshs. 20,000/- (ambapo 10,000/- ni ya kujiunga na 10,000/- ni ada ya mwezi wa kwanza). Kisha mwezi wa pili na kuendelea utakuwa unalipa elfu kumi kumi tu.
   Vile vile unaweza kulipa kwa miezi mingi mbele ... mfano ukatoa 60,000/- kama ada ya miezi sita, au 120,000/- kama ada ya mwaka mzima badala ya kutuma 10,000/- kila mwezi.
   Tutakutumia "episode" mara moja kwa wiki kwa njia ya email. Hivyo utadownload na kusikiliza au kuangalia kwenye computer yako. Au unaweza ku-burn kwenye CD au kuweka kwenye flash au memory card ya simu yako na kusikiliza au kuangalia kwenye TV, au simu yako.
   Endapo unahitaji tukuwekee kwenye CD kabisa halafu tukutumie CD utaongeza Tshs. 5,000/- kila mwezi kwa ajili ya kutengeneza na kutuma CD yako.
  Malipo yote yafanyike kwa M Pesa. Tafadhali tuma kwenda namba 0753686848
   Ikiwa una maswali yanayohusiana na jinsi ya kutuma pesa kwa kutumia tiGO Pesa usisite kumuuliza wakala wako wa tiGO Pesa. We mwambie tu, "Nataka kutuma pesa kwenda namba 0719-402233, je nifanyeje?" Atakusaidia.
   Ukishatuma pesa na kupokea ujumbe toka tiGO wa kuthibitisha kuwa pesa imetumwa, piga simu namba hiyo hiyo0753686848 jitambulishe kuwa mimi ni fulani, nimetuma pesa kupitia namba fulani. Tuko makini na wateja wetu kwamba LAZIMA WOTE WAWE WANAUME.
    Na tunakuomba sana sana sana zilinde "episode" tutakazokutumia ... usiziache ovyo demu wako au mwanamke yoyote akazikamata. Linda computer yako kama mnashea na demu wako weka password kwenye akaunti yako.
   Linda simu yako demu wako asione "episode" kama utaziweka kwenye memory card. Linda flash yako usije ukaenda ku-print documents au kunyonya muvi na miziki mahali huku umeziacha "episode" kwenye flash. Hakikisha unahamisha "episode" kabla hujampa mtu mwingine flash yako.
   Hizi "episode" ni balaa ... wanawake wengi sana wanazitafuta kwa udi na uvumba lakini kwa umakini wa wanafunzi wetu mpaka leo hawajazipata. Wanawake wakizipata zitakuwa hazina nguvu tena. Kwa hiyo tunakuomba na kukusihi tena LINDA SANA.

Kazi ni kwako sasa. Jiunge leo uwe mjanja.
- Ticha
 Kumbuka: Hii ndio kozi pekee inayofundisha kutongoza nchini Tanzania. Hakuna mahali pengine popote utakapofundishwa mbinu za kijanja za kutongoza. Watu wengi wanajidanganya kuwa kutongoza hakufundishwi, eti kila mwanaume anajua tu jinsi ya kutongoza. Kitu ambacho si kweli. Wengi wanatongoza kwa kubahatisha, wamepungukiwa mbinu za kula mzigo fasta, na bila kupoteza pesa bila sababu za msingi.

Sunday, March 10, 2013

Hali tete uchaguzi Kenya, Raila agomea matokeo ya baadhi ya majimb


HALI imeanza kuwa tete nchini Kenya baada ya Chama cha Muungano wa Cord kinachoongozwa na Raila Odinga kutaka shughuli ya kuhesabu kura za urais kusitishwa mara moja na kimetishia kwenda mahakamani kusitisha mpango huo.

Wakati hali ikiwa hivyo, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), imeendelea kutoa matokeo ya mwisho ya kura hizo kwa majimbo huku ikipanga kutangaza matokeo kamili ya uchaguzi wa rais leo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mgombea Mwenza wa Raila, Kalonzo Musyoka alisema Cord ina wasiwasi kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu na amesema kuna hisia za hujuma katika mchakato wa kuhesabu kura unaoendelea.

Musyoka alisema Cord inataka shughuli hiyo ya kuhesabu kura za urais isitishwe mara moja na kuanzishwa upya kwa kutumia stakabadhi kutoka kwa makarani wa kura jambo ambalo imeelezwa kwamba ndilo linalofanyika kwa sasa.

Alisema pia kuwa muungano huo una tashwishi kuhusu baadhi ya matokeo akisema si ya kweli kwa kuwa hayawiani na yale ambayo mawakala wao waliyowasilisha.
Alisema baadhi ya matokeo yako juu kuliko idadi ya wapiga kura katika baadhi ya maeneo ambako kura zilipigwa.

Alisisitiza kuwa tatizo hilo limetokana na kugoma kwa mitambo ya kupiga kura na pia kuanza upya kwa shughuli ya kuhesabu kura kwa kutumia mfumo wa zamani.

Musyoka alisema Tume ya Uchaguzi inastahili kutumia mitambo ya elektroniki kuhesabu kura kama inavyoagiza katiba ya nchi, huku akisisitiza kuwa muungano huo ungali unatafakari hatua za kuchukua ikiwamo kufuata sheria.
Hali ya taharuki imeanza kutanda katika maeneo mbalimbali ya Kenya baada ya IEBC kuendelea kuyakalia matokeo ya urais ikiwa ni zaidi ya saa 48 tangu Wakenya walipopiga kura.

Shughuli hiyo imekumbwa na utata hasa baada ya mitambo ya kuhesabia kura ya Tume ya Uchaguzi kukumbwa na hitilafu.

Hatua hiyo imeilazimu tume hiyo kuanza kuhesabu kura upya katika kituo cha kupokea matokeo ya kura za urais kwenye Ukumbi wa Bomas, Nairobi.

Uhuru aendelea kuongoza
Mgombea wa urais kupitia Muungano Jubilee, Uhuru Kenyatta hadi kufikia saa 11:00 jioni jana, alikuwa anaongoza kwa kura 2,660,379 huku mpinzani wake, Raila akimfuatiwa kwa kura 1,996, 181.

IEBC ilisitisha utumiaji wa mitambo ya kielektroniki kuhesabu kura kutokana na hitilafu na kusababisha zoezi hilo kubadilika na kura kuhesabiwa kwa njia ya kawaida.
Ingawa utaratibu wa kuhesabu ulikuwa unakwenda kwa mwendo wa kinyonga, bado Kenyatta alikuwa mbele.

Katika hatua nyingine, wanasiasa wa vyama vya Jubilee na Cord, walifukuzwa katika kituo cha kutangaza matokeo cha Bomas baada ya kutaka kuingilia kazi ya Tume ya Uchaguzi.
 Wanasiasa hao walianza kupiga kelele wakitaka matokeo ya jumla yatangazwe jambo lililowafanya viongozi wa IEBC, kuwafukuza katika eneo hilo.
Chanzo: Gazeti Mwananchi