2
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
/
/
/
/
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

MATOKEO YA ASTON VILLA VS MAN CITY MARCH 4 2013

Posted: 4th March 2013 by MillardAyo in News
2
.
.
7
.
Hii ndio Account feki ya Tanesco ambayo inamfollow mtu mmoja tu kwenye twitter ambae ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Hii ni Account feki ambayo inatumia jina la Tanesco lakini pamoja na kwamba sio account yao, imechekesha sana watu kutokana na majibu ambayo imekua ikitoa ikijidai Tanesco kwa watu waliouliza maswali kama wateja. sasa nataka upige kura kwa kuniambia ni tweet namba ngapi kati ya zote hizi imekufurahisha.
..
1
.
2
.
3
.
4
.
5
.
6
.
7
.
8
.
9
.
10
.
11
.
12
.
13
.
14
.
15
.
16
.
17
.
18
.
19
.
20
.
21
.
22
.
23
.
24
.
25
.
26
.
27
.
28
.
29
.
30

VIDEO YA WIZKID KUHUSU LEBO YAKE NA KUONDOKA EME.

Posted: 4th March 2013 by MillardAyo in News
0
2
.
D’Banj.
Imetangazwa kwamba staa wa Nigeria D’Banj march 30 2014 ndio inatoka album yake ya D’Kings Men, hiyo hapo chini ni moja ya hits ndani yake….
1

Pia unaweza kusikiliza u heard www.makorokocho.blogspot.com

3
7
.
.
.
Diamond akiwa mbele ya Prado yake siku alipoamua kuitangaza kwenye media june 2012.
Kupitia post hii millardayo.com inakujulisha kwamba mwimbaji staa ambae ndio mwimbaji Mtanzania alieongoza kwa kuandikwa sana kwenye internet mwaka 2012, Diamond Platnums ametangaza mpango wa kununua gari jingine.
Tofauti na Prado aliyoinunua june 2012, Diamond hajataka kutaja ni aina gani ya gari aliloliagiza sasa hivi lakini kakubali kwamba kaliagiza Japan na litakua la gharama ya juu kuliko Prado.
Ukiachia mbali hilo gari analoliagiza, Diamond amekiri pia kwamba amemaliza kuijenga nyumba yenye gharama ya milioni mia mbili sitini ambayo ameijenga maalum kwa ajili ya mama yake mzazi.
Diamond ambae amekua akiandamwa na maneno maneno ambayo anaamini wanaoyasambaza ni wasiompenda amesema “mimi nikimtanguliza Mwenyenzi Mungu mbele ata mtu atake kunifanya kitu gani haweziii mpaka aandike Mwenyenzi Mungu mwenyewe, ndio maana wao kila wakipiga vita… mimi nazidi kuwa maarufu, nazidi kuwa na hela… sasa hivi nabadilisha Prado nanunua gari jingine….. jamani mtaiona”
Unaweza kumsikiliza mwenyewe akiongea hapa chini.

KUTOKA BBC KUHUSU UCHAGUZI KENYA MARCH 4 2013

Posted: 4th March 2013 by MillardAyo in News
3
.
.
.
Hii picha ni kutoka Daily Nation Kenya, baadhi ya wakazi wa Nairobi waliojitokeza kupiga kura.